Rose Quartz

Historia: Jiwe hili la rangi ya waridi limekuwa likihusiana na mapenzi na uponyaji wa kihisia tangu enzi za Misri ya kale.

Nguvu zake:

  • Huvutia mapenzi ya kweli na huruma
  • Husaidia uponyaji wa kihisia baada ya majeraha ya moyo
  • Hujenga upendo wa ndani (self-love)
  • Huimarisha uhusiano wa kimapenzi na wa kifamilia